WANANCHI DODOMA WAELEZEA MATUMAINI YA KUUPOKEA MWAKA2022 HUKU WAKISEMA HAWATAUSAHAU MWAKA JANA KWA KUMPOTEZA HAYATI MAGUFULI.

Dodoma Baadhi ya Wananchi kutoka maeneo mbalimbali mkoani Dodoma wamesema mwaka 2021 umekuwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kupanda kwa bei za bidhaa hali ambayo imesababisha ukali wa maisha  huku wakisema hawatausahau mwaka huo kutokana na kuondokewa na kiongozi mkubwa wa nchi,Hayati John Pombe Magufuli  aliyekuwa Rais wa Tanzania huku wakielezea matumaini yao ya kuupokea mwaka